Madaktari wawajali wagonjwa kwa hospitali za umma

 Ni jambo la kushangaza sana na kusikitiza kwamba mbali na wagonjwa wengi kuwa na matumaini ya kwamba wafikishwapo hospitali watahudumiwa vizuri. Licha ya kuwepo na madaktari na manesi wengi katika sekta ya afya Bado Kuna msongamano wa wagonjwa kwa katika hospitali nyingi za umma humu nchini. Jambo hili limepelekea watu wengi kujipata matatani baada ya kuamua kuenda katika vituo vya afya vya kibinafsi na hata baada ya matibabu wanashindwa kulipa Hela hizo za matibabu. Aidha serikali kuu pamoja na serikali za kaunti zinapaswa kulichunguza jambo hili kwa undani Ili kupunguza kurundikana kwa wagonjwa katika vituo vya afya.

Comments

Post a Comment