Posts

Showing posts from March, 2022

Wosia

 Usimpige ndege kama hujafanya maandalizi ya mazingara atakapo tua yule ndege....... Maanake ni usimwambie mtu nakupenda na Bado hujajiandaa kumpenda. Kila kukicha twasikia vilio kutoka kwa watu mbalimbali kisa na maana mapenzi. Wengine wanaishia kusema mapenzi uchawi, mapenzi magumu, mapenzi machungu lakini langu ni subiri labda yule anayekufanya wewe kusema hivo hakuyaanda mazingara utakapo tua wee ndege. Fahamu fika kuwa asiyekupenda mtoe mawazoni utajiletea shida mwenyewe unapomweka Mawazoni mwako. Kumbuka tunaumizwa na wale tunaowapenda zaidi ,wadhani wampenda na yeye kakupenda vile vile kumbe yeye kapenda mwingine. YAITWA MAPENZI 🤔🤔🤔