Madaktari wawajali wagonjwa kwa hospitali za umma
Ni jambo la kushangaza sana na kusikitiza kwamba mbali na wagonjwa wengi kuwa na matumaini ya kwamba wafikishwapo hospitali watahudumiwa vizuri. Licha ya kuwepo na madaktari na manesi wengi katika sekta ya afya Bado Kuna msongamano wa wagonjwa kwa katika hospitali nyingi za umma humu nchini. Jambo hili limepelekea watu wengi kujipata matatani baada ya kuamua kuenda katika vituo vya afya vya kibinafsi na hata baada ya matibabu wanashindwa kulipa Hela hizo za matibabu. Aidha serikali kuu pamoja na serikali za kaunti zinapaswa kulichunguza jambo hili kwa undani Ili kupunguza kurundikana kwa wagonjwa katika vituo vya afya.
Ukweli mtupu!Hata baada ya wagonjwa wanalazimika kwenda hospitali za kibinafsi kununua dawa licha ya dawa hizo kuwa kwenye hospitali za umma
ReplyDeleteSerikali ya faa kuingilia kati
DeleteKazi murua. Pongezi
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSante kaka
DeleteKweli kabisa, sekta yetu ya afya inahitaji maombi.
ReplyDeleteMaombi na pia serikali kuingilia kati dada
DeleteUmenena ukweli wa mambo
ReplyDeleteUkweli usemwe dada
DeleteKazi safii dadangu zue
ReplyDeleteSante sana kaka
DeleteNaam... Serikali yafaa kuchukua hatua
ReplyDeleteNaungana nawe dada
DeleteUkweli mtupu
ReplyDelete